Wataalam wa kisiasa Kenya wasema Ruto atarajie vizingiti vingi

Your browser doesn’t support HTML5

Wataalam wa kisiasa waeleza safari ya Naibu Rais wa Kenya William Ruto kuingia ikulu ni ndefu na iliyojaa miba, hivyo atarajie vizingiti vingi.