Wataalam: Changamoto za waishio na ugonjwa wa sickle cell duniani ni kubwa

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki tunaangalia changamoto za Sickle Cell katika jamii na pia kutupia jicho katika magonjwa ambayo yanawaathiri wanyama na binadamu. Hivyo ungana na mwandishi wetu akikuletea uchambuzi wa magonjwa haya na changamoto zake kiafya kutoka kwa wataalam wa afya.