Wasudan waadhimisha miaka mitatu ya vuguvugu la mapinduzi
Your browser doesn’t support HTML5
Maandamano yanaadhimisha miaka mitatu ya vuguvugu la mapinduzi yaliyosababisha jeshi kumuondoa kiongozi wa muda mrefu Omar al-Basheer na serikali yake ya Kiislam.