Wasiwasi wagubika sherehe za sikukuu ya Krismas duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Krismas yasheherekewa katika hali ya wasiwasi mkubwa kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya Corona duniani kote.
-​ Jengo la kihistoria maarufu kama Bait al-Ajaaib laanguka visiwani Zanzibar wakati likiwa linakarabatiwa.

- Kiongozi wa upinzani nchini Mali afariki kutokana na virusi vya Corona.