Wasiwasi waenea Tanzania juu ya uwezekano wa bei za bidhaa kupanda zaidi
Your browser doesn’t support HTML5
Wananchi nchini Tanzania waeleza wasiwasi wao juu ya uwezekano wa kuongezeka kwa bei za bidhaa kutokana na ucheleweshaji wa bidhaa kutoka bandarini.