Wasiwasi wa maambukizi wakati wanafunzi wakirejea mashuleni

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya mashule kufunguliwa kote duniani na wanafunzi kuanza kurudi madarasani baada ya muda mrefu wa kusomea nyumbani, wasiwasi watanda wakati ambapo maambukizi ya COVID-19 yanaongezeka ulimwenguni.