Wasiwasi wa kurejea vurugu Libya baada ya kuahirishwa uchaguzi
Your browser doesn’t support HTML5
Kuahirishwa kwa uchaguzi nchini Libya kumeleta wasiwasi huenda mchakato wa amani ulioleta matumaini ya kumaliza muongo wa vurugu na ghasia ukaharibika.