Wasifu wa Wagombea urais wa Marekani Trump na Biden

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii katika Washington Bureau tunapata fursa ya kujua maisha na safari za siasa za mahasimu wa kisiasa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais Marekani.