Wasifu wa Makamu wa Rais Mike Pence

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu wa rais Mike Pence ameshinda changamoto kadhaa ambazo zimekumba utawala wa rais Donald Trump, akibaki kuwa mwaminifu kwa rais Trump hata wakati alikuwa anachunguzwa na bunge kwa lengo la kumfungulia mashtaka kumuondoa madarakani, na hatua kadhaa za kubadilisha baraza la mawaziri.