Washington DC: Comoros yaeleza matarajio yao yanalingana na mataifa mengine

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Comoro anaeleza kuwa matarajio ya nchi yake kutokana na Mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika yanalingana na yale ya nchi nyingine za Afrika.

Katika mahojiano na mwandishi wa Sauti ya Amerika Abdushakur Aboud katika mjini Washington, DC, Rais huyo ameeleza kwa upana mkutano huu unatoa fursa gani kwa nchi yake. Endelea kumsikiliza...
#VOAUSAfricaLeadersSummit