Washington Bureau : Wiki hii hasira na maandamano yaendelea Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kifo cha George Floyd akiwa anashikiliwa na polisi mjini Minneapolis, Minnesota, Marekani maandamano yameendelea nchini Marekani kulaani vitendo vya polisi.