WASHINGTON BUREAU : UNGA yajadili ufumbuzi wa uhaba wa chanjo ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa dunia katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) waelezea wasiwasi wao juu ya uhaba wa chanjo na jinsi janga la COVID-19 lilivyotishia juhudi za kufufua uchumi.