Washington Bureau : Rais Biden aelekeza juhudi kwa vijana wakubali kuchanjwa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden anafanya juhudi kubwa ya kuwafikia vijana walio chini ya miaka 30, wanaosita kupata chanjo ya corona akiwahamasisha kuchanjwa dhidi ya COVID-19.