WASHINGTON BUREAU : Maandamano yafanyika Washington

Your browser doesn’t support HTML5

Waandamanaji washiriki katika kupaza sauti dhidi ya vitendo vya polisi na sheria kandamizi mjini Washington, DC baada ya Mmarekani Mweusi kufa akishikiliwa na polisi.