WASHINGTON BUREAU : Hatma ya kazi za kihistoria baada ya maandamano

Your browser doesn’t support HTML5

Majuma kadhaa ya maandamano hapa Washington, DC yenye mvutano mkali kuhusiana na haki na usawa yaliacha alama za waandamanaji na kazi nyingine za kihistoria ambazo zitaendelea kuhifadhiwa katika jumba la kumbukumbu.