Wasanii walivyo wafikia watu kipindi cha COVID-19 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Matukio muhimu mwaka wa 2020 kwenye fani ya burudani ambapo wasanii maarufu mbalimbali walishirikiana katika kuwafikia watu waliokwama majumbani kutokana na janga la virusi vya corona