Wasanii wa Ukraine washirikiana na wale Wakenya kufikisha ujumbe wa amani

Your browser doesn’t support HTML5

Kutana na wasanii wa uchoraji kutoka Ukraine washirikiana na wenzao wa Kenya kutumia michoro kueneza amani. Wasanii hao wako Nairobi kwa ajili ya mradi wa "The World Project" ili kuchora michoro inayoashiria upinzani, uthabiti na minyororo ambayo huzuia ulimwengu kutokana na vita...

Ungana na mwandishi wetu Hubbah Abdi kutoka Nairobi akikuletea ripoti kamili...