Wasafiri wasikitishwa na hali ya marufuku ya kusafiri iliyotangazwa

Your browser doesn’t support HTML5

Wasafiri wanasema inaelekea marufuku ya kusafiri inajirejea tena baada ya maafisa wa Afrika Kusini kutangaza kugunduliwa kwa aina mpya ya virusi vya corona, Omicron, wakielezea masikitiko yao.