Wapiganaji wa Taliban wampokea kwa shangwe Baradar

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa Taliban Abdul Ghani Baradar apokelewa kwa shangwe na wafuasi wake nchini Afghanistan, na kikundi chake cha ahidi kujenga mahusiano mazuri na mataifa yote duniani.