Wapiganaji wa Kihouthi waelekea maeneo ya serikali Yemen

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa, UN na Marekani zimeeleza wasiwasi juu ya kusonga mbele kwa wapiganaji wa Kihouthi wakielekea katika maeneo ya serikali ya Yemen inayotambuliwa kimataifa.