Wapiga kura wawauliza maswali Trump na Biden
Your browser doesn’t support HTML5
Katika mikutano miwili tofauti iliyofanywa na Rais Donald Trump na Makamu wa Rais wa zamani Joe Biden baadhi ya wapiga kura waliohudhuria walipata fursa ya kuwauliza maswali.