Wapiga kura wajitokeza kwa wingi Sri Lanka licha ya janga la corona

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya uchaguzi nchini Sri Lanka kuahirishwa mara mbili wapiga kura safari hii wamejitokeza kwa wingi licha ya kuwepo kwa janga la corona.