Wapiga kura wa Ohio, Kentucky pamoja na majimbo mengine kadhaa washiriki kwenye uchaguzi wa Jumanne.

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii wademokrat pamoja na wanaharakati wa haki za utoaji mimba hapa Marekani wamepiga hatua kupitia ushindi kwenye uchaguzi katika majimbo kadhaa yakiwemo yale ya kikonsavative ya Ohio na Kentucky.