Marekani: Wapiga kura wa Asia wanamaamuzi uchaguzi wa katikati ya muhula?

Your browser doesn’t support HTML5

Leo katika Washington Bureau tunaangazia majaribio yanayofanywa kuwafikia wapiga kura wa Asia hapa nchini Marekani ambao watashiriki katika uchaguzi wa katikati ya muhula Novemba 2022. Hata hivyo wachambuzi wanasema bado ni changamoto kuwafikia.

Mwandishi wetu anakuletea kwa undani namna wapiga kura wenye asili ya Asia hapa Marekani wanavyoweza kuwa na kura za maamuzi katika siasa za Marekani. Endelea kumsikiliza.