Wapiga kura Georgia washiriki kuwachagua maseneta

Your browser doesn’t support HTML5

Wapiga kura wa jimbo la Georgia washiriki duru ya pili kuwachagua maseneta watakao amua chama kitakacho kuwa na udhibiti wa Baraza la Seneti.
Watu 22 wauawa, nyumba kuchomwa moto na wengine kutekwa nyara Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Rwanda yapiga marufuku kusafiri kati ya wilaya kutokana na ongezeko la COVID-19.