Wanasayansi watafiti ngamia wakihofia ugonjwa hatari mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Hifadhi ya asili ya Kapiti iliyoko upande wa kusini wa Kenya, ngamia wanapitia upimaji katika juhudi ya watafiti kuufahamu ugonjwa wa Middle East ambao unatisha zaidi hata pengine kuliko COVID-19.