Wanasayansi waonya kuongezeka joto duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Wanasayansi wa Taasisi ya Copernicus inayofuatilia viwango vya joto vya ulimwengu yaonya kuhusu kuongezeka kwa kiwango cha joto duniani wakisema kuwa utafiti unaonyesha mwaka 2021 ulikuwa na joto kali sana.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari