Wanaoishi na virusi vya ukimwi waeleza changamoto bado zipo

Your browser doesn’t support HTML5

Bahati Haule anaishi na virusi vya ukimwi. Anasema hali ya huduma ya afya kwa sehemu inatengemaa, japo kumekuwepo changamoto kadhaa ikiwemo dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi kutopatikana.

Ungana na mwandishi wetu kutoka nchini Tanzania akikuletea repoti kamili kuhusu changamoto nyingine ambazo zinawakabili watu wanaoishi na virusi hivyo. Endelea kusikiliza.