Wanaoishi katika vibanda Nairobi wafarijika kupatiwa vyoo

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya Kenya yafadhili eneo la vibanda linalokaliwa na watu wenye kipato cha chini jijini Nairobi ambalo lilikuwa na tatizo sugu la ukosefu wa vyoo.