Duniani Leo : Sept 28 : Wananchi zaidi ya milioni 2 Kenya wakabiliwa na njaa

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya Wakenya milioni 2 wanakabiliwa na njaa.
Utawala wa kijeshi wa Guinea umepiga marufuku wajumbe wake kugombea katika Uchaguzi Mkuu.

Deni la Zambia dhidi ya China lakadiriwa kuwa mara mbili zaidi ya ilivyoelezwa.