Wananchi wataka Kenyatta na Ruto kutimiza ahadi

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wanasema tofauti zilizoko kati ya Kenyatta na Ruto waziweke kando na badala yake watekeleze ahadi walizotoa kwa wananchi.