Wananchi wasikitishwa na kufungwa kwa soko la Eastleigh

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi waeleza kero zao juu ya kufungwa kwa soko maarufu la Eastleigh mjini Nairobi kutokana na amri ya serikali ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.