Duniani Leo : Aprili 19 : Wananchi wanaeleza hisia mseto kuhusu hatma ya kesi ya Floyd

Your browser doesn’t support HTML5

Hisia mseto zatolewa na wananchi katika kesi ya mauaji inayomkabili afisa wa zamani wa polisi Derek Chauvin, Minneapolis, Jimbo la Minnesota, Marekani.
- Mkosoaji mkubwa wa Rais wa Russia ​Alexei Navalny ahamishiwa hospatilini huku afya yake ikisemekana kuzorota zaidi alipokuwa gerezani.

- Ethiopia yatangaza hali ya hatari katika eneo la kusini la jimbo la Amhara huku vurugu zikiendelea katika miji kadhaa.