Wananchi wamlaumu Mwanasheria Mkuu wa Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Kenya kukata rufaa dhidi ya fidia iliyopitishwa na mahakama kwa wananchi walioathirika kutokana na sumu ya kiwanda cha chuma umewasikitisha wengi.