Wananchi waipongeza serikali kudhibiti watu wanaotumia dini kutapeli waumini

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii VOA Mitaani inaangalia hatua ya serikali ya Kenya kudhibiti imani potofu zinazotumika kuwatapeli waumini.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea maoni ya wananchi wa Kenya kuhusu utapeli uliotokea katika eneo la Kilifi baada ya wafuasi wa Paul Mackenzie kuhadaiwa na wengine kufariki. Endelea kusikiliza...