COVID-19 : Wananchi wafarijika kufunguliwa shughuli mbalimbali Rwanda
Your browser doesn’t support HTML5
Baraza la Mawaziri katika kikao chake cha Alhamisi kilitoa tamko kwa kuanza shughuli za kawaida nchini Rwanda kwa sharti watu watakao hudhuria shughuli hizo katika maeneo mbalimbali, kazini na kwenye burudani ni lazima wawe wamechanjwa... Sikiliza ripoti kamili...