Wananchi waeleza wasiwasi wao juu ya bidhaa ya mchele iliyowasili Comoro

Your browser doesn’t support HTML5

Mamia ya watu wakusanyika nje ya maduka karibu na bandari ya Moroni wakisubiri kupata bidhaa ya mchele, baadhi wakisema wanashaka iwapo tatizo la uhaba wa bidhaa hiyo itamalizika.

Endelea kusikiliza matarajio ya wananchi hao wakieleza wasiwasi wao juu ya hali waliokutana nayo siku za nyuma wakati bidhaa hiyo ilipowasili.