Wananchi wa Ufilipino waandamana baada ya matokeo yasio rasmi kutangazwa

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya wananchi wa Ufilipino wameandamana katika mji mkuu, Manila, baada ya matokeo yasiokuwa rasmi kutoa ushindi kwa mgombea Ferdinand Marcos.

Maelfu ya wananchi wa Ufilipino wameandamana katika mji mkuu, Manila, baada ya matokeo yasiokuwa rasmi kutoa ushindi kwa mgombea Ferdinand Marcos.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari