Wananchi wa Peru washinikiza kufanyika uchaguzi, waandamana

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la Peru limekataa mswaada wa tatu uliowasilishwa katika wiki moja ukitaka maandalizi ya uchaguzi wa mapema yafanyike. Wakati huo huo maandamano yanaendelea kote nchini.

Mswaada huo unapendekeza pia kuandaliwa kura ya maoni. Endelea kumsikiliza mwandishi wetu akikuletea hali ilivyo katika mitaa ya Lima wakati waandamanaji wakishinikiza kufanyika uchaguzi...