Wananchi wa Myanmar waendelea kupinga mapinduzi ya kijeshi

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya waandamanaji wameandamana Myanmar kwa siku ya tatu maeneo mbalimbali nchini Myanmar kupinga mapinduzi ya kijeshi na kuwekwa kizuizini kwa kiongozi wa kiraia Aung San Suu Kyi na maafisa wengine wa serikali.