Wananchi wa Kenya wajitokeza kumuenzi hayati Mwai Kibaki

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini Kenya wamehudhuria ibada maalum ya kumwaga Rais wa tatu Mwai Kibaki katika Uwanja wa Nyao jijini Nairobi.