Wananchi wa Goma watoa maoni kufuatia amri ya Rais Tshisekedi ya kuwakamata viongozi

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Goma, Kivu Kaskazini wanaeleza hisia zao juu ya uamuzi wa Rais Felix Tshisekedi kutoa amri ya kukamatwa mshauri wake anayehusika na masuala ya kiusalama na wengine waliokuwa karibu naye.