Wananchi wa Ghana wakiuka agizo la kuvaa barakoa wakati wa kampeni
Your browser doesn’t support HTML5
Idara ya huduma za afya yakadiria kuwa asilimia 80 ya wananchi wa Ghana hawavai barakoa wakikaidi agizo la Rais likiwataka wavae barakoa wakati wa kampeni za Uchaguzi.