Wananchi wa DRC wamlilia hayati Rais Magufuli

Your browser doesn’t support HTML5

Taarifa za kifo cha Rais John Pombe Magufuli kimepokelewa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa masikitiko makubwa.