Wananchi wa DRC waikosoa UN kuhusu uwepo wa MONUSCO

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi katika eneo la mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kivu kaskazini na Kivu Kusini na Ituri wasema Baraza la Umoja wa Mataifa, UN, limekuwa likifanya makosa kuongeza muda wa vikosi vya kulinda amani vya MONUSCO kuendelea kuwepo nchini humo.