Wananchi wa Burkina Faso watumia sanaa kueleza matumaini ya mustakbali bora wa nchi yao

Your browser doesn’t support HTML5

Ndoto ya siku bora zaidi zijazo kwa Burkina Faso na kwa Afrika zilionyeshwa katika ubunifu uliokuwa na misingi ya uzalendo na mapambano dhidi ya ugaidi.

Endelea kusikiliza ripoti hii maalum ikitoa maelezo ya hali inayoikabili nchi hiyo baada ya hivi karibuni kukabiliwa na wimbi la mashambulizi ya kigaidi.