Wananchi Kenya waungana wakilalamika kuongezeka kwa gharama ya maisha

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya wenye ghadhabu wajitokeza kwenye mitandao ya kijamii kulalamikia kuongezeka kwa gharama ya maisha ikiwemo umeme, chakula na mafuta.