Wananchi DRC waipongeza serikali ya Tshisekedi

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi waipongeza serikali ya Tshisekedi kutokana na mafanikio ya operesheni ya kuwaondoa waasi katika maeneo ya misituni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo..