Pia utapata kusikia namna walivyojipanga kwenda kutumbuiza nchi nyingine zikiwemo za Afrika Mashariki.
Usikose kuangalia sehemu nyingine nne za mahojiano haya.
Wanamuziki wa Sauti Soul waridhishwa na upendo ulioonyeshwa na mashabiki wao
Your browser doesn’t support HTML5
Kundi la wanamuziki wa Sauti Soul kutoka Kenya wako katika ziara nchini Marekani. Ungana nao wakiwa katika mahojiano kwenye studio za Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, Washington, DC. Wanasema wameridhishwa na upendo wa mashabiki wao.