Wanamazingira Kenya watafakari athari za mto wenye sumu
Your browser doesn’t support HTML5
Wadau wa mazingira Kenya wapaza sauti juu ya uchafuzi wa mto ambao ni chanzo cha maji kwa wananchi, ambao unadaiwa kuathiriwa na plastiki na kufanya maji yake kuwa sumu eneo la Kayole, Kenya.